-
by
Victor Abuso
Heri ya mwaka mpya wapenzi wasomaji wa tovuti yetu ya soka25east.com.
Mwaka 2015 ulikuwa wa mafanikio makubwa sana lakini hatukukosa changamoto mbalimbali.
Mwezi Februari mwaka uliopita, tuliadhimisha mwaka mmoja na kipindi hicho tulitaka kuwa na kasi mpya ili kupata wasomaji zaidi.
Tulikuwa na lengo la kukuletea wewe msomaji wetu habari za hivi punde kuhusu mchezo wa soka barani Afrika.
Changamoto.
Tuliweka mfumo ambao ungetusaidia tunapochapisha habari zetu za soka kutokuwa na msongamano mkubwa wa habari.
Hata hivyo, muda mfupi baada ya kuweka mfumo huo tulikumbana na changamoto ya msongamano huo.
Kati ya mwezi Juni na Julai, kulikuwa na msongamano mkubwa na ikawa vigumu sana kuchapisha taarifa nyingi za soka.
Hii ilitulazimu kubadilisha mtandao unaotusaidia kuchapisha taarifa zetu, hatua ambayo iliwasaidia wasomaji wetu kupata taarifa zetu wakitafuta soka25east.com au soka25east.
Waandishi wapya
Mwaka 2015, tovuti iliongeza waandishi wake kupanua wigo wake. Miongoni mwa wale waliojiunga ni pamoja na kikosi cha soka25east.com ni pamoja na Bonface Osano, Austin Oduor, Aaron Mubanga Jr, Kelvin Tradeu Musako, James “Guru” Sibeleki, Bwezani Mbewe, Evans Oduor, Vicent Kakooza, Lorraine Rutto, na mwanahabari wetu wa Kiswahili ,Victor “Kaka” Abuso.
Kwa ongezeko hili, tumeweza kukuleta taarifa za kina kutoka Afrika Mashariki, Kati, Kusini mwa Afrika pamoja na eneo la Kaskazini.
Tunakuletea pia taarifa za timu za taifa za soka kutoka bara lote la Afrika.
Heri ya mwaka mpya wa 2016.
CAF Confederation Cup
Simba snatch late winner against CS Sfaxien as Enyimba beaten
CAF Champions League
Sundown CL campaign has a pulse after beating Raja
CAF Champions League
TP Mazembe win CAF Women’s Champions league trophy
CAF Champions League
Mamelodi Sundowns Off to a Lukewarm Start in 2024/25 CAF Champions League
CAF Champions League
AL Ahly start CAF CL campaign with win over Stade d’Abidjan
CAF Confederation Cup
Simba make good start beating Bravos do Maquis
CAF Confederation Cup
Enyimba fall to Al Masry in Alexandria
CAF Confederation Cup
Zamalek got their Group D campaign off to a comfortable star
Must See
-
AFRICA
/ 4 years agoSierra Leone FA President Isha Johansen endorses Patrice Motsepe for CAF President
Sierra Leone FA President who also doubles up as CAF Executive Council member Madam...
-
Football
/ 4 years agoIT JUST CAN NOT BE – AN AFRICA FULL OF MORONS?
By John De Mathews, There is an eerie silence around Africa, and it is...