-
by
Victor Abuso
Black Stars ya Ghana ilindikisha matokeo mazuri siku ya Alhamisi baada ya kuifunga Msumbiji mabao 3 kwa 1 katika mchuano wa kundi H kufuzu kucheza fainali ya mataifa bingwa barani Afrika mwaka 2017 nchini Gabon.
Mabao ya Ghana yalitiwa kimyani na Jordan Ayew, Frank Acheampong na John Boye huku bao la kufuta machozi la Msumbiji likifungwa na Apson Manjate.
Kwa matokeo hayo, Ghana inaongoza kundi lao kwa alama 9 baada ya kushinda mechi zake zote tatu ilizocheza hadi sasa.
Rwanda ambayo ni ya pili kwa alama 3, inajiandaa kumenyana na Mauritius ambayo pia ina alama tatu, siku ya Jumamosi katika uwanja wa Anjalay mjini Belle Vue.
Matokeo mengine ya siku ya Alhamisi, Madagascar ikiwa nyumbani ilitoka sare ya bao 1 kwa 1 na Jamhuri ya Afrika ya Kati, huku Comoros ikiwashangaza Bostwana kwa kuwafunga bao 1 kwa 0.
Djibouti nayo ikiwa nyumbani mjini Djibouti, ilifungwa na wageni wao Liberia bao 1 kwa 0.
Siku ya Ijumaa Machi 25 2016.
- Swaziland vs Zimbabwe
- Gabon vs Sierra Leon
- Nigeria vs Egypt
- Mauritania vs Gambia
- Cote d’ivoire vs Sudan
- Guinea vs Malawi
- Tunisia vs Togo
- Mali vs Equatorail Guinea
- Algeria vs Ethiopia
Siku ya Jumamosi Machi 26 2016
-
Mauritius vs Rwanda
-
Seychelles vs Lesotho
-
Burundi vs Namibia
-
Congo DRC vs Angola
-
Cameroon vs South Africa
-
Cape Verde Islands vs Morocco
-
Burkina Faso vs Uganda
-
Senegal vs Niger
Siku ya Jumapili Machi 27 2016
-
Mozambique vs Ghana
-
Kenya vs Guinea Bissau
-
Bostwana vs Comoros
-
Congo vs Zambia
-
Benin vs South Sudan.
CAF Confederation Cup
Simba snatch late winner against CS Sfaxien as Enyimba beaten
CAF Champions League
Sundown CL campaign has a pulse after beating Raja
CAF Champions League
TP Mazembe win CAF Women’s Champions league trophy
CAF Champions League
Mamelodi Sundowns Off to a Lukewarm Start in 2024/25 CAF Champions League
CAF Champions League
AL Ahly start CAF CL campaign with win over Stade d’Abidjan
CAF Confederation Cup
Simba make good start beating Bravos do Maquis
CAF Confederation Cup
Enyimba fall to Al Masry in Alexandria
CAF Confederation Cup
Zamalek got their Group D campaign off to a comfortable star
Must See
-
AFRICA
/ 4 years agoSierra Leone FA President Isha Johansen endorses Patrice Motsepe for CAF President
Sierra Leone FA President who also doubles up as CAF Executive Council member Madam...
-
Football
/ 4 years agoIT JUST CAN NOT BE – AN AFRICA FULL OF MORONS?
By John De Mathews, There is an eerie silence around Africa, and it is...