Na Victor Abuso
Kocha wa timu ya taifa ya soka ya Kenya Harambee Stars Bobby Williamson, amekitaja kikosi cha wachezaji 16 wanaocheza soka nyumbani kuelekea mchuano wa kufuzu kuelekea fainali ya mataifa bingwa barani Afrika mwaka 2017 dhidi ya Zambia mwezi Septemba.
Williamson amewataja wachezaji wawili Wycliffe Kasaya na Ian Otieno kujiunga na kikosi hicho cha taifa kutoka katika vlabu vinacheza daraja la chini.
Kikosi Kamili:
Makipa: Boniface Oluoch (Gor Mahia) Wycliff Kasaya (Nakumatt) Ian Otieno (Posta Rangers)
Mabeki: Harun Shakava (Gor Mahia) Edwin Wafula (AFC Leopards) Dennis Odhiambo (ThikaUnited)
Viungo wa Kati: Collins Okoth (Gor Mahia) Barnard
Mang’oli (AFC Leopards) Sammy Meja (Thika United), Humphrey Mieno (Tusker) Eric Johana (Mathare United) Danson Kago (Tusker)
Washambuliaji: Jesse Were (Tusker) Michael Olunga
(Gor Mahia) Noah Wafula (Tusker).
Wiki iliyopita, Williamson alikitaka kikosi kingine cha wachezaji 17 wanaocheza soka nje ya nchi.
Kikosi kamili:-Kipa Arnold Origi – Lillestrom (Norway)
Mabeki :Brian Mandela – Maritzburg United (Afrika Kusini), David Owino – Zesco United (Zambia), David Ochieng (hana timu)
Viungo wa Kati:-Lawrence Olum – Kedah FA (Malaysia), Macdonald Mariga –(hana timu), Paul Were – (hana timu, Ayub Timbe – SK Lierse (Belgium), Clifton Miheso – VPS FC (Finland), Anthony Akumu – Al Khartoum (Sudan) Victor Wanyama – Southampton FC (Uingereza )
Washambuliaji :- Johanna Omollo – Royal Antwerp FC (Ubelgiji), Dennis Oliech – (hana timu), Jacob Kelli –Nkana FC (Zambia), Allan Wanga – Azam FC (Tanzania).
Kenya ilitoka sare ya bao 1 kwa 1 katika mchuano wa ufunguzi wa kundi lao la E dhidi ya Congo Brazaville huku Zambia nao wakitoka sare ya kutofungana na Guinea-Bissau.
African Football Writer contributing @Soka25east | Commentator; appeared on @MySoccerAfrica, @KweseSports, @ntvkenya, others | Keen follower of African Football. E-mail: bonfaceosano@gmail.com
CAF Champions League
Mamelodi Sundowns and Asfar advance to Quarter-finals
CAF Champions League
TP Mazembe bow out with big win over leaders Al Hilal
CAF Champions League
MC Alger book Quarter-finals spot after draw with Yanga
CAF Champions League
Orlando Pirates capped their incredible with Al Ahly win
Women's Football
FAZ appoints Hauptle as new Copper Queens Coach
Africa Cup of Nations
CAF Slaps Libya with $50,000 fine, Benin also sanctioned
CAF Champions League
Raja Casablanca upset Mamelodi Sundowns
CAF Champions League
Mouth Watering CAF Champions League matches lined up
CAF Champions League
Al Ahly, Al Hilal Omdurman and Esperance looking to book Quarter-finals slot
Must See
-
AFRICA
/ 4 years agoSierra Leone FA President Isha Johansen endorses Patrice Motsepe for CAF President
Sierra Leone FA President who also doubles up as CAF Executive Council member Madam...
-
Football
/ 4 years agoIT JUST CAN NOT BE – AN AFRICA FULL OF MORONS?
By John De Mathews, There is an eerie silence around Africa, and it is...