-
-
by
Victor Abuso

Kocha wa timu ya taifa ya soka ya Kenya Mfaransa Sebastien Migne amekitaja kikosi cha awali cha wachezaji 27, kuelekea fainali ya mataifa bingwa barani Afrika, itakayoanza mwezi ujao nchini Misri.
Migne amemwacha nje ya kikosi hcho mshambuliaji mkongwe na wa siku nyingi Allan Wanga, anayechezea klabu ya Kakamega Homeboyz katika ligi kuu ya Sport Pesa.
Wapenzi wa soka nchini humo kupitia mitandao ya kijamii, wameonekana kushangazwa na kuachwa nje kwa Wanga ambaye ni miongoni mwa washambuliaji waliofanya vema katika ligi kuu ya soka nchini humo.
Wachezaji wengine waliotemwa ni pamoja na kiungo wa kati ya Whyvonne Isuza na kipa wa klabu ya Kariobangi Sharks Brian Bwire.
Harambee Stars ambayo imepangwa pamoja na Tanzania, Senegal na Algeria katika michuano hiyo ya AFCON na kitakwenda nchini Ufaransa kwa maandalizi ya michuano hiyo mikubwa barani Afrika.



Africa Cup of Nations
Teams get tough opponents in AFCON 2025 Draws

Africa Cup of Nations
Tanzania,Uganda in tricky group with Nigeria and Tunisia

Africa Cup of Nations
Tough Afcon Group B as SouthAfrica paired with Egypt,Angola,Zimbabwe

Africa Cup of Nations
Teams get tough opponents in AFCON 2025 Draws

Africa Cup of Nations
Tanzania,Uganda in tricky group with Nigeria and Tunisia

Africa Cup of Nations
Tough Afcon Group B as SouthAfrica paired with Egypt,Angola,Zimbabwe
Must See
-
AFRICA
/ 4 years agoSierra Leone FA President Isha Johansen endorses Patrice Motsepe for CAF President
Sierra Leone FA President who also doubles up as CAF Executive Council member Madam...
-
Football
/ 4 years agoIT JUST CAN NOT BE – AN AFRICA FULL OF MORONS?
By John De Mathews, There is an eerie silence around Africa, and it is...