Stories By Fredrick Nwaka
-
Maradona asema anamheshimu Messi kupita kiasi
Nyota wa mchezo wa kandanda duniani, Diego Maradona amesema ataendelea kumheshimu Lionel Messi licha ya matokeo mabaya ambayo Argentina inayapata katika...
-
Ureno na Hispania zafuzu 16 bora,kombe la dunia
Uhispania na Ureno ziliungana na Uruguay na wenyeji Urusi kufuzu hatua yaa 16 bora ya fainali za kombe la Dunia. Hispania...
-
Simba yakamilisha usajili wa Meddie Kagere
Klabu ya Simba imefanikiwa kumsajili Gor Mahia ya Kenya, Meddie Kagere. Ripoti kutoka Tanzania zilizomnukuu Meneja wa mchezaji huyo Patrick Gakumba...
-
Nigeria ni kufa au kupona dhidi ya Argentina
Timu ya Taifa ya Nigeria inaingia uwanjani saa 3 usiku kwa saa za Afrika Mashariki katika chezo wa kufa au kupona...
-
Ligi ya wanawake Tanzania kuendelea leo
Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Premium Lite itaendelea kesho Jumamosi Juni 23,2018 kwenye Viwanja vinne. Evergreen vs Mlandizi Queens (Karume)...
-
Tuzo za Ligi Kuu Tanzania Bara kutolewa leo, Dar es Salaam
Mchakato wa upigaji kura kwa Mchezaji Bora wa Ligi ya Vodacom Tanzania Bara 2017/2018 zoezi la upigaji kura limefungwa Jumatano. Zoezi...
-
East Africa
/ 7 years agoDirisha la usajili wa Ligi Kuu Tanzania Bara lafunguliwa
Dirisha la Usajili kwa klabu za Ligi Kuu, Daraja la Kwanza na Daraja la Pili msimu wa 2018/2019 limefunguliwa rasmi. Dirisha...
-
Rayon Sports kumtangaza Mbrazil kuwa kocha wake mkuu
Klabu ya Rayon Sports ya Rwanda wakati wowote kutoka sasa itamtangaza Mbrazil Roberto Luiz Bianchi kuwa kocha mkuu akichukua nafasi ya...
-
Azam yamnyakua Wadada, kutoka Vipers
Klabu ya Azamimeendelea kuimarisha kikosi chake baada ya kumsajili beki wa kimataifa wa Uganda, Nicholaus Wadada. Wadada mlinzi wa pembeni amesajiliwa...
-
Hector Cuper: Tulitaka kumlinda Mohammed Salah
Kocha wa timu ya Taifa ya Misri, Muargentina Hector Cuper amesema uamuzi wa kumuacha nje Mohammed Salah alilenga kumuepusha na hatari...