Stories By Victor Abuso
-
AFCON 2021: Michuano ya kufuzu Cameroon yaanza
Timu za taifa za mchezo wa soka za Nigeria, Namibia, Guinea-Bissau, Jamhuri ya Afrika ya Kati na Malawi, zimeanza kwa ushindi,...
-
Fainali ya vijana 2019: Misri kucheza mechi ya mwisho dhidi ya Mali
Wenyeji Misri wanacheza mechi ya mwisho dhidi ya Cameroon, ikiwa ni hatua ya makundi, kuwania taji la vijana barani Afrika katika...
-
Kenya: Aduda kuwania urais wa FKF
Mkurugenzi mtendaji wa klabu ya Gor Mahia nchini Kenya Lordvick Aduda ametangaza nia ya kuwania urais wa Shirikisho la soka nchini...
-
CAF yatoa mafunzo kuhusu usalama viwanjani
Uongozi wa Shirikisho la soka barani Afrika CAF, unatoa mafunzo kwa maafisa wanaoshughulikia usalama wakati wa mchezo wa soka wakati wa...
-
Kenya: MacDonald Mariga kuwania ubunge
Chama cha Jubilee kinasema mchezaji huyo wa zamani, ameaminiwa kwa sababu ya taibia yake na ushirikiano wake na watu. Mchezaji wa...
-
East Africa
/ 5 years agoKimanzi apewa tena Harambee Stars
Francis Kimanzi ameteuliwa tena kuwa kocha wa timu ya taifa ya soka ya Kenya, Harambee Stars kwa mara ya tatu ndani...
-
East Africa
/ 5 years agoMkitaka kuniachisha kazi, endeleeni, Migne aiambia FKF
Kocha wa timu ya taifa ya soka ya Kenya Mfaransa Sebastian Migne amesema, rais wa Shirikisho la soka nchini humo Nick...
-
East Africa
/ 5 years agoMichuano ya kufuzu CHAN 2020 kuanza
Michuano ya soka mzunguko wa kwanza, kuwania fainali ya bara Afrika kuwania taji la CHAN kwa wachezaji wanaocheza soka katika ligi...
-
CAF yatangaza droo ya michuano ya klabu bingwa na Shirikisho
Ratiba hiyo ilitangazwa na Kamati maalum inayoshughulikia mashindano ya vilabu baraNi Afrika jijini Cairo nchini Misri. Klabu 58 zinashiriki katika hatua...
-
East Africa
/ 6 years agoKenya yailemea Tanzania 3-2 AFCON 2019
Timu ya taifa ya soka ya Kenya imepata ushindi wake wa kwanza, katika michuano ya kuwania taji la bara Afrika inayoendelea...