Stories By Victor Abuso
-
East Africa
/ 6 years agoMichuano ya Kagame Cup kuanza Ijumaa jijini Dar es Salaam
Michuano ya klabu bingwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati CECAFA, itaanza siku ya Ijumaa jijini Dar es salaam nchini Tanzania....
-
Urusi 2018: Senegal yahitaji sare au ushindi kufuzu hatua ya 16 bora
Timu ya taifa ya soka ya Senegal ina kibarua kizito dhidi ya Colombia katika mchuano wake wa mwisho wa kundi H,...
-
Misri kutompa mkataba mpya kocha Hector Cuper
Shirikisho la soka nchini Misri, EFA limesema halitampa mkataba mpya kocha Hector Cuper raia wa Argentina, baada ya matokea mabaya katika...
-
Kombe la dunia kuanza nchini Urusi
Michuano ya kombe la dunia inaanza siku ya Alhamisi kati ya wenyeji Urusi na Saudi Arabia. Mechi hii itachezwa katika uwanja...
-
Kombe la dunia: Teknolojia ya VAR kuanza kutumiwa
Kombe la dunia nchini Urusi, litashuhudia matumizi ya kwanza ya teknolojia ya Video Assistant Referee, mfumo wa video unaomwezesha mwamuzi kupitia...
-
Waamuzi kutoka Afrika watakaochezesha kombe la dunia
Waamuzi sita kutoka barani Afrika, ni miongoni mwa Waamuzi 36 wa Kati, watakaochezesha miaka ya kombe la dunia nchini Urusi kuanzia...
-
Wafahamu manahodha muhimu michuano ya kombe la dunia
Wakati kombe la dunia, likianza nchini Urusi, tuangazie baadhi ya Manahodha wanaonekana kuvutia hisia za mashabiki wa soka pamoja na kuangaliwa...
-
East Africa
/ 7 years agoGor Mahia yatetea taji la SportPesa, kucheza na Everton
Klabu ya Gor Mahia ya Kenya imetetea taji la SportPesa, baada ya kuishinda Simba FC ya Tanzania mabao 2-0 katika fainali...
-
Ujerumani yaongoza viwango vya soka duniani
Shirikisho la soka duniani, FIFA, limetangaza viwango vya ubora siku ya Alhamisi kuelekea kombe la dunia wiki ijayo nchini Urusi. Ujerumani...
-
East Africa
/ 7 years agoGor Mahia na Simba kumenyana katika fainali ya SportPesa
Klabu ya Gor Mahia ya Kenya itamenyana na Simba FC ya Tanzania katika fainali ya kuwania taji la SportPesa, siku ya...