Stories By Victor Abuso
-
Mechi ya Kimataifa ya kirafiki kati ya Argentina na Israeli yafutwa.
Timu ya taifa ya Argentina imesitisha mchuano wake wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Israel, uliokuwa umepangwa kuchezwa siku ya Jumamosi....
-
Mataifa ya Afrika yapambana kufuzu fainali ya wanawake nchini Ghana
Mechi za mzunguko wa mwisho kuwania nafasi kucheza fainali ya soka kwa mataifa ya Afrika kwa upande wa wanawake, inachezwa siku...
-
East Africa
/ 7 years agoMichuano ya Sportpesa kati ya klabu za Kenya na Tanzania kuanza Jumpili
Awamu ya pili ya michuano ya soka kuwani taji la kampuni ya kubashiri michezo SportPesa kati ya klabu kutoka Kenya na...
-
Historia ya wenyeji na washindi wa kombe la dunia
Kombe la dunia ni mashindano ya Kimataifa ya mchezo wa soka baina ya wanaume wanaowakilisha mataifa yao. Michuano hii imekuwa ikichezwa...
-
Nigeria na DRC zatoka mechi ya Kimataifa ya kirafiki
Nigeria ilitoka sare ya bao 1-1 na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika mchuano wa Kimataifa wa kirafiki uliochezwa siku ya...
-
DRC kumenyana na Nigeria katika mchuano wa Kimataifa wa kirafiki
Timu ya taifa ya soka ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, inachuana na Nigeria siku ya Jumatatu katika mchuano wa Kimataifa...
-
Salah: Nina imani nitapona kufikia kombe la dunia
Mshambuliaji wa Kimataifa wa Misri, na mchezaji wa klabu ya Liverpool Mohamed Salah amesema ana amini kuwa atakuwa amepata nafuu kabla...
-
East Africa
/ 7 years agoTFF kumkabidhi kombe la Cecafa rais Magufuli
Shirikisho la Soka Tanzania TFF limeandika barua wizara ya habari utamaduni sanaa na michezo ili kuomba rais Magufuli kuwa mgeni rasmi...
-
Tambwe, Churwa wako vizuri kuikabili Rayon Sports
Kocha Msaidizi wa Yanga Noel Mwandila amesema timu yake inaingia katika mchezo wa kesho dhidi ya Rayon Sports ikiwa na wachezaji...
-
East Africa
/ 7 years agoUganda yaanza vema kufuzu michuano ya vijana nchini Niger 2019
Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, yameanza kwa kusuasua katika mzunguko wa pili wa michuano ya kufuzu kucheza fainali ya vijana...