Stories By Victor Abuso
-
East Africa
/ 5 years agoAFCON 2019: Kenya na Tanzania, nani ataibuka mbabe ?
Timu za taifa za Kenya na Tanzania zitachuana Alhamisi usiku katika mechi muhimu ya mchezo wa soka, kuwania taji la bara...
-
Mane kutocheza mechi dhidi ya Tanzania
Senegal itamkosa mshambuliaji matata, wakati itakapoanza kampeni ya kutafuta ubingwa wa soka barani Afrika siku ya Jumapili dhidi ya Tanzania. Mane...
-
Mshambuliaji wa Nigeria apata nafuu baada ya kuzirai
fya ya Samuel Kalu, mshambuliaji wa timu ya taifa ya soka ya Nigeria inaendelea kuimarika, baada ya kuzirai wakati akifanya maezoezi...
-
East Africa
/ 6 years agoMichuano ya AFCON 2019 kuanza siku ya Ijumaa
Fainali za 32 za mataifa ya Afrika zinaanza leo nchini Misri kwa kushirikisha mataifa 24, ikiwa ni mara ya kwanza kihistoria....
-
Kocha wa Harambee Stars ataja kikosi cha mwisho kuelekea fainali ya AFCON
Kocha wa timu ya taifa ya soka ya Kenya Sébastian Migné amekitaja kikosi cha mwisho cha wachezaji 23 kuelekea fainali ya mataifa...
-
Rais wa CAF Ahmad Ahmad akamatwa Paris
Shirikisho la soka duniani FIFA, limethibitisha kukamatwa kwa rais wa Shirikisho la soka barani Afrika CAF, Ahmad Ahmad ambaye alikuwa amehudhuria...
-
Infantino achaguliwa tena rais wa FIFA hadi 2023
Gianni Infantino amechaguliwa kuongoza Shirikisho la soka duniani FIFA, kwa muhula wa pili wa miaka minne, utakaokamilika mwaka 2023. Hatua hii...
-
Allan Wanga aachwa nje ya kikosi cha wachezaji 27 kuelekea AFCON
Kocha wa timu ya taifa ya soka ya Kenya Mfaransa Sebastien Migne amekitaja kikosi cha awali cha wachezaji 27, kuelekea fainali...
-
Ghana: Asamoah Gyan astaafu soka
Nahodha wa timu ya taifa ya soka ya Ghana Asamoah Gyan, ametangaza kustaafu kuichezea timu ya taifa ya soka, wiki chache...
-
Kocha Migne ataja kikosi cha wachezaji 30 kuelekea fainali ya AFCON
Kocha wa timu ya taifa ya soka ya Kenya Sebastien Migne amekitaja kikosi cha wachezaji 30 ili kuanza maandalizi ya michuano...