Stories By Victor Abuso
-
East Africa
/ 8 years agoSportpesa kuondoa ufadhili wake nchini Kenya mwaka 2018
Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya Sportpesa inayofadhili vlabu kadhaa kadhaa vya soka nchini Kenya, imetangaza itasitisha ufadhili wake ifikapo tarehe...
-
Kombe la dunia la mabara: Cameroon yahitaji ushindi kusonga mbele
Timu ya taifa ya soka ya Cameroon inashuka dimbani katika mchuano wake wa pili kupambana na Australia kuwania kombe la dunia...
-
CAF Klabu Bingwa/Shirikisho:Matokeo mbalimbali yashuhudiwa
Matokeo mbalimbali yameshuhudiwa katika michuano ya klabu bingwa na Shirikisho barani Afrika, iliyochezwa siku ya Jumanne na Jumatano wiki hii katika...
-
Al Ahly huenda ikawa klabu ya kwanza kufuzu hatua ya mwondoano
Klabu ya soka ya Al Ahly nchini Misri ina nafasi ya kufuzu katika hatua ya mwondoano kuwania taji la klabu bingwa...
-
East Africa
/ 8 years agoUganda: Kasule kumshtaki Magogo FIFA
Mpinzani pekee wa rais wa sasa wa Shirikisho la soka nchini Uganda amekosa idhini ya kuwania urais wa FUFA tarehe 5...
-
East Africa
/ 8 years agoKocha wa Gor Mahia Mbrazil Jose Marcelo Ferreira, aacha kazi
Kocha wa klabu ya soka ya Gor Mahia nchini Kenya Mbrazil Jose Marcelo Ferreira, amejiuzulu. Marcelo anayefahamika kwa jina maarufu...
-
Sudan Kusini kumpata kiongozi mpya wa Shirikisho la soka
Wadau wa mchezo wa soka nchini Sudan Kusini wanapiga kura kumchagua rais mpya wa Shirikisho la mchezo huu nchini humo,...
-
Wakala:Ihurumieni familia ya Cheick Tiote
Wakala wa aliyekuwa mchezaji wa timu ya taifa ya soka ya Ivory Coast na klabu ya Beijing Enterprises nchini China,...
-
FKF yaiandikia CAF barua kulalamikia uonevu wa marefarii
Shirikisho la soka nchini Kenya FKF, limeiandikia barua Shirikisho la soka barani Afrika CAF, kulalamikia uonevu wa wa marefarii katika mchuano...
-
FIFA yaikatalia Etoile Filante de Garoua kuhusu Cameroon
Shirikisho la soka duniani FIFA, limekataa ombi la klabu ya soka ya Etoile Filante de Garoua kutoka nchini Cameroon , kuizua...