Stories By Victor Abuso
-
AFCON 2017: Uchambuzi wa kundi D
Fahamu kwa kina uchambuzi wa michuano ya kundi D kuelekea michuano ya ufunguzi siku ya Jumamosi nchini Gabon. Ghana Hii ni...
-
Kombe la dunia mwaka 2026 kuwa na timu 48
Shirikisho la soka duniani FIFA, kwa kauli moja, limekubali kuongeza idadi ya mataifa yatakayoshiriki katika michuano ya kombe la dunia kutoka...
-
AFCON 2017: Uchambuzi wa kundi C
DR Congo Timu ya taifa ya soka ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, maarufu kama Leopard, inarejea katika michuano ya kutafuta...
-
East Africa
/ 8 years agoTFF yamteua Salum Mayanga kocha mpya wa Taifa Stars
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limemteua Salum Mayanga kuwa kocha wa muda wa timu ya taifa ‘Taifa Stars’....
-
Uganda yakabiliwa na changamoto za kifedha kuelekea Gabon
Timu ya taifa ya soka ya Uganda inakabiliwa na changamoto za kifedha kuelekea kwenye michuano ya Mataifa bingwa barani Afrika mwaka...
-
Gabon yatangaza kikosi cha mwisho kuelekea fainali za AFCON
Gabon imekuwa timu ya kwanza kutaja kikosi chake cha mwisho kitakachoshiriki katika fainali ya michuano ya Mataifa bingwa barani Afrika itakayoanza...
-
Droo ya michuano ya klabu bingwa na Shirikisho barani Afrika yatajwa
Shirikisho la soka barani Afrika CAF, limetangaza droo ya michuano ya klabu bingwa na Shirikisho barani Afrika mwaka 2017. Michuano...
-
Serikali ya DRC yasitisha ligi kuu ya soka
Waziri wa Michezo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Denis Kambayi ametangaza kusitisha ligi kuu ya soka nchini humo hadi tarehe...
-
Wachezaji wa Nigeria waandamana mbele ya Bunge
Wachezaji wa timu ya soka ya wanawake wa Nigeria, wameandamana nje ya majengo ya bunge jijini Abuja, kulalamikia hatua ya Shirikisho...
-
Kenneth Muguna mchezaji mwenye thamani nchini Kenya
Kiungo wa klabu ya soka ya Western Stima Kenneth Muguna ndio mchezaji bora na mwenye thamani kubwa mwaka 2016 nchini...