-
by
Victor Abuso
Shirikisho la soka duniani FIFA limeifungia Benin kushiriki katika maswala yote ya soka duniani kwa muda usiojulikana.
FIFA imechukua hatua hiyo baada ya Mahakama nchini Benin mapema mwezi huu kutoa uamuzi wa kusimamisha uchaguzi uliokuwa umepangwa hivi karibuni kuwachagua, viongozi wa Shirikisho la soka.
Uamuzi huu unamaanisha kuwa Benin watakosa mchuano muhimu kufuzu kucheza fainali ya mataifa ya Afrika dhidi ya Equitorial Guinea mwezi ujao.
Kanuni za FIFA haziruhusu serikali kuingilia kati usimamizi wa soka hata kama kuna mzozo wa viongozi wa soka.
Uamuzi huu umeamuliwa wakati wa kuanza kwa mkutano Mkuu wa FIFA nchini Mexico.
Pamoja na hilo, Baraza la FIFA limeidhinisha rasmi Kamati maalum kusimamia maswala ya soka nchini Guinea kutokana na mzozo wa viongozi wa Shirikisho la soka nchini humo.
CAF Confederation Cup
Simba snatch late winner against CS Sfaxien as Enyimba beaten
CAF Champions League
Sundown CL campaign has a pulse after beating Raja
CAF Champions League
TP Mazembe win CAF Women’s Champions league trophy
CAF Champions League
Mamelodi Sundowns Off to a Lukewarm Start in 2024/25 CAF Champions League
CAF Champions League
AL Ahly start CAF CL campaign with win over Stade d’Abidjan
CAF Confederation Cup
Simba make good start beating Bravos do Maquis
CAF Confederation Cup
Enyimba fall to Al Masry in Alexandria
CAF Confederation Cup
Zamalek got their Group D campaign off to a comfortable star
Must See
-
AFRICA
/ 4 years agoSierra Leone FA President Isha Johansen endorses Patrice Motsepe for CAF President
Sierra Leone FA President who also doubles up as CAF Executive Council member Madam...
-
Football
/ 4 years agoIT JUST CAN NOT BE – AN AFRICA FULL OF MORONS?
By John De Mathews, There is an eerie silence around Africa, and it is...