Connect with us

CAF: Orodha ya wachezaji wanaowania taji la mchezaji bora yatolewa

CAF: Orodha ya wachezaji wanaowania taji la mchezaji bora yatolewa

Shirikisho la soka barani Afrika CAF, limetoa orodha ya majina ya wachezaji wanaowania tuzo la mchezaji bora mwaka huu.

Wachezaji hao ni wale wanaocheza soka la kulipwa barani Ulaya na barani Afrika.

Miongoni wachezaji hao ni pamoja na Victor Wanyama kutoka nchini Kenya anayeichezea klabu ya Southmpton ya Uingereza na Mbwana Samatta kutoka Tanzania anayechezea klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya congo.

Wale walioteuliwa na wanaocheza soka barani Ulaya ni pamoja na :

Algeria: Baghdad Bounedjah (Etoile Sahel/TUN), Yacine Brahimi (Porto/POR), Sofiane Feghouli (Valencia/ESP), Faouzi Ghoulam (Napoli/ITA), Riyad Mahrez (Leicester City/ENG), El-Arbi Hillel Soudani (Dinamo Zagreb/CRO)

Benin: Rudy Gestede (Aston Villa/ENG)

Cape Verde: Heldon Ramos (Rio Ave/POR)

Congo Brazzaville: Thievy Bifouma (Granada/ESP), Ferebory Dore (Angers/FRA)

Cameroon: Vincent Aboubakar (Porto/POR), Stephane Mbia (Trabzonspor/TUR), Nicolas Nkoulou (Marseille/FRA)

Democratic Republic of Congo: Yannick Bolasie (Crystal Palace/ENG), Robert Kidiaba (TP Mazembe), Dieumerci Mbokani (Norwich City/ENG)

Egypt: Bassem Morsy (Zamalek), Mohamed Salah (Roma/ITA)

Equatorial Guinea: Javier Balboa (Al Faisaly/KSA)

Gabon: Pierre-Emerick Aubameyang (Borussia Dortmund/GER)

Ghana: Christian Atsu (Bournemouth/ENG), Andre Ayew (Swansea City/ENG)

Guinea: Ibrahima Traore (Borussia Moenchengladbach/GER)

Ivory Coast: Serge Aurier (Paris Saint-Germain/FRA), Gervinho (Roma/ITA), Max Alain Gradel (Bournemouth/ENG), Yaya Toure (Manchester City/ENG, title-holder)

Kenya: Victor Wanyama (Southampton/ENG)

Nigeria: Vincent Enyeama (Lille/FRA), Ahmed Musa (CSKA Moscow/RUS)

Mali: Seydou Keita (Roma/ITA)

Morocco: Mehdi Benatia (Bayern Munich/GER)

Senegal: Mame Biram Diouf (Stoke City/ENG), Sadio Mane (Southampton/ENG)

Sudan: Mudather Eltaib (Al Hilal)

Tunisia: Aymen Abdennour (Valencia/ESP), Yassine Chikhaoui (Al Gharafa/QAT)

Walioteuliwa na wanaocheza soka barani Afrika.

Algeria: Zinedine Ferhat, Mohamed Meftah (both USM Alger), Baghdad Bounedjah (Etoile Sahel/TUN), Abdelmalek Ziaya (Entente Setif)

Burkina Faso: Mohamed Koffi (Zamalek/EGY)

Congo Brazzaville: Boris Moubhio (AC Leopards)

Democratic Republic of Congo: Robert Kidiaba (TP Mazembe)

Egypt: Hazem Emam, Bassem Morsy (both Zamalek)

Equatorial Guinea: Felix Ovono (Orlando Pirates/RSA)

Gabon: Malick Evouna (Al Ahly/EGY)

Ivory Coast: Roger Assale, Sylvain Gbohouo (both TP Mazembe/COD)

Madagascar: Carolus Andriamahitsinoro (USM Alger/ALG)

Mali: Djigui Diarra (Stade Malien)

Morocco: Abdeladim Khadrouf (Moghreb Tetouan)

South Africa: Kermit Erasmus, Thamsanqa Gabuza, Oupa Manyisa (all Orlando Pirates)

Sudan: Bakry ‘Al Medina’ Babiker (Al Merrikh), Mudather Eltaib (Al Hilal)

Tanzania: Mbwana Samatta (TP Mazembe/COD)

Tunlsia: Ahmed Akaichi, Hocine Ragued (both Esperance)

Bedjos Solutions Bondo

Must See

More in