-
-
by
Victor Abuso
Shirikisho la soka barani Afrika CAF limetangaza mabadiliko mapya katika ligi ya klabu bingwa na Shirikisho barani Afrika kuanzia mwaka ujao.
Mabadiliko hayo ni kuwa, katika hatua ya makundi, vlabu 16 vitafuzu badala ya nane kama inavyoshuhudia wakati huu.
Vlabu hivyo vitakuwa katika makundi manne, kila kundi na timu nne.
Mabadiliko haya yametangazwa na Issa Hayatou rais wa Shrikisho la soka barani Afrika katika Mkutano Mkuu wa CAF uliofanyika jana jijin Mexico nchini Mexico.
Mkutano huo pia ulihudhuriwa na rais wa FIFA Gianni Infantino.
Related Topics



CAF Confederation Cup
Simba book final spot in CAF Confederation cup

CAF Confederation Cup
Simba book final spot in CAF Confederation cup
Must See
-
AFRICA
/ 4 years agoSierra Leone FA President Isha Johansen endorses Patrice Motsepe for CAF President
Sierra Leone FA President who also doubles up as CAF Executive Council member Madam...
-
Football
/ 5 years agoIT JUST CAN NOT BE – AN AFRICA FULL OF MORONS?
By John De Mathews, There is an eerie silence around Africa, and it is...