Connect with us

CAF yatangaza droo ya michuano ya klabu bingwa na Shirikisho

CAF yatangaza droo ya michuano ya klabu bingwa na Shirikisho

Ratiba hiyo ilitangazwa na Kamati maalum inayoshughulikia mashindano ya vilabu baraNi Afrika jijini Cairo nchini Misri.

Klabu 58 zinashiriki katika hatua ya awali, kuwania taji la klabu bingwa huku mabingwa wa zamani TP Mazembe, Esperance de Tunis na Wydad Athletic, wakipangwa katika hatua ya kwanza ya michuano hii.

Nalo taji la Shirikisho, litashuhuhudia klabu 42 zikishiriki katika hatua ya awali ikiwa ni pamoja na CS Sfaxien, Zanaco, RS Berkane, CnaPS, Bidvest Wits, Salitas, Hassania US Algadir, Ranger International na San Pedro zikifuzu katika awamu ya kwanza.

Michuano hii itachezwa nyumbani na ugenini kati ya tarehe 9 na 11 mwezi Agosti huku mechi ya pili ikichezwa wiki moja baadaye.

Hatua ya awali, taji la klabu bingwa:-

1. Brikama United (GAM) vs Raja CA (MAR)
2. AS Tempéte MOCAF (RCA) vs El Nasr (LBY)
3. JS Kabilye (ALG) vs Merrikh (SUD)
4. Stade Malien (MAL) vs Horoya AC (GUI)
5. Buffles du Borgou (BEN) vs ASCK (TOG)
6. USM de Loum (CMR) vs AS Vita (DRC)
7. Rayon Sports (RWA) vs Hilal (SUD)
8. RAHIMO FC (BFA) vs Enyimba FC (NGR)
9. SONIDEP (NIG) vs USM Algier (ALG)
10. Gor Mahia (KEN) vs Aigle Noir CS (BUR)
11. Atlabara FC (S.SUDAN) vs Egypt 1 (EGY)
12. Canon Sports Academy (EQG) vs Mekelle 70 Enderta FC (ETH)
13. Dekadaha FC (SOM) vs Egypt 2 (EGY)
14. LPRC Oilers (LBR) vs Generation Foot (SEN)
15. Heifia FC (GUI) vs ESS (TUN)
16. Kano Pillars (NGR) vs Asante Kotoko (GHA)
17. African Stars (NAM) vs KCCA (UGA)
18. Matlama FC (LES) vs Atletico Petroleos de Luanda (ANG)
19. Fomboni FC de Moheli (COM) vs Cote d’Or FC (SEY)
20. AS Otoho d’Oyo (CON) vs Mamelodi Sundowns (RSA)
21. Omnisport de l’Armee (CIV) vs FC Mouhadhibou (MRT)
22. AO CMS (GAB) vs Elect Sport (CHD)
23. Green Mamba (ESW) vs Zesco United (ZAM)
24. Young Africans (TAN) vs Township Rollers (BOT)
25. Nyasa Big Bullets (MLW) vs FC Platinum (ZIM)
26. UD do Songo (MOZ) vs Simba Sports (TAN)
27. KMKM SC (ZNZ) vs Despotivo de 1° Agosto (ANG)
28. Green Eagles (ZAM) vs Orlando Pirates (RSA)
29. Fosa Juniors (MAD) vs Pample Mousses (MAU)

Ratiba ya kuwania taji la Shirikisho
1. AS SNIM (MRT) vs ESAE FC (BEN)
2. USGN FC (BEN) vs Al Ittihad (LBY)
3. Maranatha Fiokpo (TOG) vs LISCR FC (LBR)
4. AS Pelican (GAB) vs AS Maniema Union (RDC)
5. Paradou A.C (ALG) vs C.I Kamsar (GUI)
6. Bolton CYC (MAU) vs Jwanerg Galaxy (BOT)
7. Mogadishu City Club (SOM) vs Malindi SC (ZAN)
8. Akonangui FC (EQG) vs Ashanti Gold (GHA)
9. Niger Tornadoes (NGA) vs Santoba Conakry (GUI)
10. TS Galaxy (RSA) vs St. Louis (SEY)
11. Buildcon FC (ZAM) vs Young Buffaloes (ESW)
12. Arta Solar7 (DJI) vs El Khartoum El Watani (SUD)
13. DC Motema Pembe (RDC) vs Star Renard de Loum (CMR)
14. AS Kigali (RWA) vs KMC FC (TAN)
15. Proline FC (UGA) vs Masters Security Services (MLW)
16. Bandari FC (KEN) vs Al Ahly Shandy (SUD)
17. US Ben Guerdane (TUN) vs Amarat (SSD)
18. Ethiopia 1 (ETH) vs Azam FC (TAN)
19. Triangle FC (ZIM) vs Rukinzo FC (BUR)
20. Egypt 2 vs Etoile du Congo (CGO)
21. C.R Belouizdad (ALG) vs AS CotonChad (CHAD)

Bedjos Solutions Bondo

Must See

More in