Shirikisho la soka barani Afrika CAF, limetangaza orodha ya wachezaji watatu wa kike na kiume wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa mwaka wa 2017.
Hii ndio orodha kamili ya wachezaji wanaowania tuzo hiyo:
Mchezaji bora kwa upande wa wanaume
- Mohamed Salah (Misri & Liverpool)
- Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon & Dortmund)
- Sadio Mane (Senegal & Liverpool)
Mchezaji bora kwa upande wa wanawake
- Asisat Oshoala (Nigeria & Dalian Quanjian)
- Chrestina Kgatlana (Afrika Kusini & UWC Ladies)
- Gabrielle Aboudi Onguene(Cameroon & CSKA Moscow)
Mchezaji chipukizi wa mwaka
- Krepin Diatta (Senegal & Sarpsborg)
- Patson Daka (Zambia & Liefering)
- Salam Giddou (Mali & Guidars)
Kocha wa mwaka
- Gernot Rohr (Nigeria)
- Hector Cuper (Egypt)
- L’Hussein Amoutta (Wydad Athletic Club)
Klabu ya bora ya mwaka
- Al Ahly
- TP Mazembe
- Wydad Athletic Club
Timu bora ya taifa
- Cameroon
- Egypt
- Nigeria
Timu bora ya taifa kwa upande wa wasichana chipukizi
- Ghana -Chini ya miaka 20
- Nigeria -Chini ya miaka 20
- Afrika Kusini
Tuzo hii imekuwa ikitolewa tangu mwaka 1992.
Hii ndio orodha ya wachezaji waliowahi kushinda taji hili.
- 1992-Abedi Pele-Ghana/Marseille, Ufaransa
- 1993-Rashid Yekini-Nigeria/Vitoria de Setubal,Ureno
- 1994-Emmanuel Amunike-Nigeria/Sporting CP, Ureno
- 1995-George Weah-Liberia/Milan, Italia
- 1996-Nwankwo Kanu-Nigeria/Intermilan, Italia
- 1997-Victor Ikpeba-Nigeria/Monaco, Ufaransa
- 1998-Mustapha Hadji-Morocco/Deportivo La Coruna,Uhispania
- 1999-Nwako Kanu-Nigeria/Arsenal, Uingereza
- 2000-Patrick Mboma-Cameroo/Parma, Italia
- 2001-El Hadji Diouf-Senegal/Lens, Ufaransa
- 2002-El Hadji Diouf-Senegal/Liverpool, Uingereza
- 2003-Samuel Eto’o-Cameroon/Mallorca, Uhispania
- 2004-Samuel Eto’o-Cameroon/Barcelona, Uhispania
- 2005-Samuel Eto’o-Cameroon/Barcelona, Uhispania
- 2006-Didier Drogba-Ivory Coast/Chelsea, Uingereza
- 2007-Frederic Kenoute-Mali/Sevilla, Uhispania
- 2008-Emmanuel Adebayor-Togo/Arsenal, Uingereza
- 2009-Didier Drogba-Ivory Coast/Chelsea, Ungereza
- 2010-Samuel Eto’o-Cameroon/Intermilan, Italia
- 2011-Yaya Toure-Ivory Coast/Manchester City, Uingereza
- 2012-Yaya Toure-Ivory Coast/Manchester City, Uingereza
- 2013-Yaya Toure-Ivory Coast/Manchester City, Uingereza
- 2014-Yaya Toure-Ivory Coast/Manchester City, Uingereza
- 2015-Pierre-Emerick Aubameyang-Gabon/Borrusia Dortmund, Ujerumani
- 2016-Riyad Mahrez-Algeria, Leicester City, Uingereza.