Connect with us

DRC:Droo ya kuwania taji la Linafoot yawekwa wazi

DRC:Droo ya kuwania taji la Linafoot yawekwa wazi

 

Shirikisho la soka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limetoa ratiba ya michuano ya mwondoano kutafuta ubingwa wa ligi kuu nchini humo mwaka huu.

Michuano hiyo itachezwa kati ya tarehe 7 mwezi huu wa tano na tarehe 19 mwezi ujao wa Juni.

Mchuano wa Kinshasa Derby kati ya mabingwa watetezi Vita Club na DC Motema, utachezwa tarehe 12 katika uwanja wa Stade des Martyrs zamani ulikuwa unafahamika kama uwanja wa Kamanyola.

Nayo klabu ya FC Lupopo itamenyana na mabingwa watetezi TP Mazembe tarehe 22 mwezi huu.

Ratiba Kamili

DCMP vs Muungano  tarehe 7 Mwezi 5 
Shark XI Sanga Balende , tarehe 8 mwezi 5
Vclub vs Dauphin black, tarehe  8  mwezi 5
Lupopo vs  Mazembe ,tarehe  22 mwezi 5

Mazembe- VClub , tarehe 25 mwezi 5
Dauphin black- DCMP ,tarehe 12 mwezi 5
Sanga Balende- Lupopo , tarehe 12 mwezi 5
Muungano- Shark XI, tarehe  15 mwezi wa 5

DCMP- Mazembe , tarehe  mwezi 5
Muungano Dauphin black, tarehe 19 mwezi 5
VClub - Sanga Balende tarehe 15 mwezi 5
Shark XI- Lupopo , tarehe 19 mwezi 5

Bedjos Solutions Bondo

Must See

More in