Na Mwandishi wetu akiwa Dar Es Salaam,
Baada ya kutoonekana mazoezini kwa siku zisizopungua tatu huku kukosekana kwake kukizua taharuki kubwa na kuzidisha uvumi kuwa klabu ya Simba SC imemfuta kazi kocha huyo.
Kuelekea mchezo dhidi ya Ruvu Shooting Patrick Aussems alirejea Tanzania na kuendelea na majukumu yake kama kawaida, waandishi walipomuuliza alikuwa wapi kiasi cha kukosekana mazoezi, Aussems alisema alienda London kufanya mazungumzo na Tottenham Hotspurs ili amrithi Mauricio Pochettino lakini bahati haikuwa yake nafasi hiyo kapewa Mourinho, kauli hiyo kaitoa akiwa mazoezini kupitia Azam TV
“Bahati mbaya kumekuwa na mvua nyingi jana na leo sio rahisi kufanya mazoezi mazuri lakini tumefanya kwa muda wa saa moja, nilikuwa london kufanya mazungumzo na Tottenham lakini kwa bahati mbaya wamemchukua Mourinho” alitoa kauli Aussems ambayo ilitafsiriwa kama utani
Aussems hadi sasa karejea Dar es Salaam na atakuwa sehemu ya benchi la ufundi la Simba SC lakini bado kuna uvumi kuwa siku zake ndani ya Simba SC zinahesabika.
Hadi sasa Aussems ameiongoza Simba SC kucheza jumla ya michezo 9 ya Ligi Kuu akiwa na Simba SC akishinda michezo 7, sare mchezo mmoja na amepoteza mchezo mmoja akiwa nafasi ya pili kwa kuwa na alama 22, Kagera Sugar akiongoza Ligi kwakuwa na alama 23 ila ameizidi Simba SC kwa michezo miwili wakiwa wao wamecheza michezo 11.
CAF Champions League
Mamelodi Sundowns and Asfar advance to Quarter-finals
CAF Champions League
TP Mazembe bow out with big win over leaders Al Hilal
CAF Champions League
MC Alger book Quarter-finals spot after draw with Yanga
CAF Champions League
Orlando Pirates capped their incredible with Al Ahly win
Women's Football
FAZ appoints Hauptle as new Copper Queens Coach
Africa Cup of Nations
CAF Slaps Libya with $50,000 fine, Benin also sanctioned
CAF Champions League
Raja Casablanca upset Mamelodi Sundowns
CAF Champions League
Mouth Watering CAF Champions League matches lined up
CAF Champions League
Al Ahly, Al Hilal Omdurman and Esperance looking to book Quarter-finals slot
Must See
-
AFRICA
/ 4 years agoSierra Leone FA President Isha Johansen endorses Patrice Motsepe for CAF President
Sierra Leone FA President who also doubles up as CAF Executive Council member Madam...
-
Football
/ 4 years agoIT JUST CAN NOT BE – AN AFRICA FULL OF MORONS?
By John De Mathews, There is an eerie silence around Africa, and it is...