-
by
Victor Abuso
Ligi kuu ya soka nchini Kenya katikati ya wiki hii itachukua mapumziko ya mwezi mmoja kutoa nafasi kwa usajili wa dirisha dogo.
Hadi sasa vlabu vyote 16 vimecheza mechi 14.
Tusker FC inaongoza kwa alama 28, alama mbili mbele ya mabingwa watetezi Gor Mahia ambao wana alama 26.
Ulinzi Stars ni ya tatu, sawa na Mathare United ambayo pia ina alama 26.
Orodha ya wachezaji wanaongoza katika ufungaji wa mabao:-
- Wycliffe Ochomo (Muhoroni Youth)-Mabao 10
- John Makwatta (Ulinzi Stars)-Mabao 7
- Jacques Tuyisenge (Gor Mahia)-Mabao 6
- Obadiah Ndege (Mathare United), Michael Khamati (Tusker), Kepha Aswani (AFC Leopards)-Mabao 5
- Timothy Otieno (Posta Rangers), Baron Oketch (Western Stima), George Odhiambo (Gor Mahia), Anthony Kimani (Bandari)-Mabao 4
Ratiba ya michuano ya katikati ya wiki:-
Tarehe 25- Gor Mahia vs Sofapaka-Uwanja wa Moi Kisumu
AFC Leopards vs Tusker-Uwanja wa Machakos
Tarehe 26:-
Muhoroni Youth vs Chemelil Sugar-Muhoroni
Western Stima vs Ushuru FC-Moi Kisumu
Sony Sugar vs City Stars-Uwanja wa Awendo
Bandari vs Thika United-Uwanja wa Mbaraki
Ulinzi Stars vs KK Homeboyz-Uwanja wa Afraha
Posta Rangers vs Mathare United-Machakos
CAF Confederation Cup
Simba snatch late winner against CS Sfaxien as Enyimba beaten
CAF Champions League
Sundown CL campaign has a pulse after beating Raja
CAF Champions League
TP Mazembe win CAF Women’s Champions league trophy
CAF Champions League
Mamelodi Sundowns Off to a Lukewarm Start in 2024/25 CAF Champions League
CAF Champions League
AL Ahly start CAF CL campaign with win over Stade d’Abidjan
CAF Confederation Cup
Simba make good start beating Bravos do Maquis
CAF Confederation Cup
Enyimba fall to Al Masry in Alexandria
CAF Confederation Cup
Zamalek got their Group D campaign off to a comfortable star
Must See
-
AFRICA
/ 4 years agoSierra Leone FA President Isha Johansen endorses Patrice Motsepe for CAF President
Sierra Leone FA President who also doubles up as CAF Executive Council member Madam...
-
Football
/ 4 years agoIT JUST CAN NOT BE – AN AFRICA FULL OF MORONS?
By John De Mathews, There is an eerie silence around Africa, and it is...