Connect with us

Na Fadhili Sizya

KOCHA Salum Mayanga ametaja majina ya wachezaji 24 kwa ajili ya mchezo wa kwanza kampeni za kuwania kucheza Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) katika  dhidi ya Rwanda  Jumamosi mei 15 Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza.

Baada ya kurejea jana nchini na ushindi wa tatu kwenye michuano ya Kombe la COSAFA Castle nchini Afrika Kusini, kocha Mayanga anayesaidiwa na Fulgence Novatus amefanya mabadiliko madogo kikosini.

Aidha baadhi ya mabadiliko ni Langoni amemuondoa Benno Kakolanya na kumchukua kipa wa timu ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys iliyoshiriki Fainali za Afrika nchini Gabon Mei mwaka huu,Ramadhan  Kabwili aliyeonyesha uwezo mkubwa kwenye michuano hiyo.

Kikosi

Aish Manula, Said Mohammed na Ramadhani Kabwili.

Mabeki; Shomari Kapombe, Hassan Kessy, Gardiel Michael, Hamimu Abdul, Boniface Maganga, Salim Mbonde, Abdi Banda na Nurdin Chona.

Viungo; Muzamil Yassin, Himid Mao, Salmin Hoza, Raphael Daud, Erasto Nyoni, Said Ndemla, Simon Msuva, Shiza Kichuya na Joseph Mahundi.

Washambuliaji ni Athanas Mdamu, John Bocco, Kelvin Sabato na Stahmil Mbonde.

Ex- CAF Media Expert. An expert on African football with over 15 years experience ,always with an ear to the ground with indepth knowledge of the game. I have worked for top publications including 7 years at www.supersport.com until i founded www.soka25east.com to quench the thirst of football lovers across the continent. I have trained young upcoming journalists who are now a voice in African football.I have covered World Cup,AFCON,CHAN,Champions League,Confederations Cup,Cecafa,Cosafa,Wafu and many other football tournaments across the World. Founder Football Africa Arena(FAA),Founder www.afrisportdigital.com

More in