-
-
by
Victor Abuso
Michuano ya soka mzunguko wa kwanza, kuwania fainali ya bara Afrika kuwania taji la CHAN kwa wachezaji wanaocheza soka katika ligi za nyumbani mwaka 2020 nchini Cameroon.
Mataifa 16 yatashiriki katika michuano hiyo na yanafuzu kutoka kanda zote za mchezo wa soka barani Afrika.
Eneo la Afrika Mashariki na Kati, itatoa mataifa mawili yatakayofuzu katika michuano hiyo, na mechi hizi zinachezwa nyumbani na ugenini katika mzunguko wa kwanza na wa pili.
Rwanda na Sudan tayari zimefuzu katika mzunguko wa pili na zinasubiri wapinzani wao mwezi Septemba.
Siku ya Ijumaa, Djibouti watamenyana na Ethiopia, huku Burundi wakiwakaribisha Sudan Kusini na Somalia dhidi ya Uganda siku ya Jumamosi.
Siku ya Jumapili, Tanzania itamenyana na Kenya jijini Dar es salaam kabla ya mechi ya marudiano siku ya mapema mwezi Agosti jijini Nairobi.
Fainali ya kwanza ya CHAN iliandaliwa mwaka 2009 nchini Ivory Coast na DRC kuwa mabingwa wa kwanza.
Morocco walikuwa wenyeji walikuwa wa mwisho kuandaa michuano hii mwaka 2018.



Africa Cup of Nations
Teams get tough opponents in AFCON 2025 Draws

Africa Cup of Nations
Tanzania,Uganda in tricky group with Nigeria and Tunisia

Africa Cup of Nations
Tough Afcon Group B as SouthAfrica paired with Egypt,Angola,Zimbabwe
Must See
-
AFRICA
/ 4 years agoSierra Leone FA President Isha Johansen endorses Patrice Motsepe for CAF President
Sierra Leone FA President who also doubles up as CAF Executive Council member Madam...
-
Football
/ 4 years agoIT JUST CAN NOT BE – AN AFRICA FULL OF MORONS?
By John De Mathews, There is an eerie silence around Africa, and it is...