-
-
by
Victor Abuso
Michuano ya kuwani taji la Mapinduzi Visiwani Zanzibar, inaedelea leo Jumanne katika uwanja wa Amman.
Mafunzo ya Zanzibar watachuana na Mtibwa Sugar kutoka Tanzania bara kuanzia saa 10 na nusu jioni.
Azam FC nayo itapambana na Yanga kuanzia saa mbili na dakika 15 usiku.
Michuano ya leo ni ya kundi B.
Jana, Jumatatu, URA iliishinda JKU ya Zanzibar mabao 3 kwa 1.
Simba nayo ilitoka sare ya mabao 2 kwa 2 na Jamhuri FC.
Oscar Agaba alikuwa wa kwanza kuifungia URA bao la kwanza katika dakika ya 12 ya mchuano huo lakini Nasser Juma akaisawazishia JKU dakika tano baadaye lakini URA ilipata bao la ushindi katika dakika ya 22 kipindi cha kwanza.
URA watarejea uwanjani siku ya Jumatano kumenyana na mabingwa watetezi Simba.
Nusu fainali itachezwa siku ya Jumamosi na Jumapili huku fainali ikiratibiwa kuchezwa siku ya Jumatano juma lijalo.



Africa Cup of Nations
Teams get tough opponents in AFCON 2025 Draws

Africa Cup of Nations
Tanzania,Uganda in tricky group with Nigeria and Tunisia

Africa Cup of Nations
Tough Afcon Group B as SouthAfrica paired with Egypt,Angola,Zimbabwe

Africa Cup of Nations
Teams get tough opponents in AFCON 2025 Draws

Africa Cup of Nations
Tanzania,Uganda in tricky group with Nigeria and Tunisia

Africa Cup of Nations
Tough Afcon Group B as SouthAfrica paired with Egypt,Angola,Zimbabwe
Must See
-
AFRICA
/ 4 years agoSierra Leone FA President Isha Johansen endorses Patrice Motsepe for CAF President
Sierra Leone FA President who also doubles up as CAF Executive Council member Madam...
-
Football
/ 4 years agoIT JUST CAN NOT BE – AN AFRICA FULL OF MORONS?
By John De Mathews, There is an eerie silence around Africa, and it is...