-
-
by
Victor Abuso
Kocha mpya wa timu ya taifa ya soka ya Kenya Harambee Stars Stanley Okumbi amewaita kambini wachezaji 36 kuanza maandalizi ya mchuano wa kufuzu kucheza fainali ya matufa bingwa barani Afrika mwaka ujao nchini Gabon.
Kenya itachuana na Guinea Bissau tarehe 23 mwezi huu wa Machi katika mchuano wa kundi lao.
Wachezaji hao wanatarajiwa kuanza kambi tarehe 14 jijini Nairobi.
Miongoni mwa wachezaji hao ni pamoja na :-
Kikosi
Makipa- Arnold Origi (Lillestrom, Norway), Boniface Oluoch (Gor Mahia), Lucas Indeche (AFC Leopards), Ian Otieno (Posta Rangers);
Mabeki – Harun Shakava, Musa Mohammed (Gor Mahia), Brian Birgen, Omar Mbongi (Ulinzi Stars), Shariff Mohammed (Bandari), David Owino (Zesco United), James Situma (Tusker), Eugene Ochieng (Sony Sugar), Joseph Okumu (Chemelil Sugar) and Brian Mandela (Maritzburg United, South Africa);
Viungo wa Kati – Victor Wanyama (Southampton, England), Johannah Omollo (Antwerp, Belgium), Collins Okoth, Francis Kahata (Gor Mahia), Patillah Omotto (Kariobangi Sharks), Johannah Erick, Roy Syamba (Mathare United), Clifton Miheso, Simon Abuko (AFC Leopards), Anthony Kimani, Shaban Kenga, David Kingatua (Bandari) Ayub Timbe (Lierse, Belgium) ), Anthony Akumu (Zesco United, Zambia), Paul Were (Kalloni, Greece);
Washambuliaji- Michael Olunga (IF Djugardens, Sweden), Aziz Okaka (Ushuru), Timothy Otieno (Posta Rangers), Jesse Were (Zesco United, Zambia), Ovella Ochieng (Kariobangi Sharks) and Nicholas Kipkurui (Zoo Kericho)



Africa Cup of Nations
Teams get tough opponents in AFCON 2025 Draws

Africa Cup of Nations
Tanzania,Uganda in tricky group with Nigeria and Tunisia

Africa Cup of Nations
Tough Afcon Group B as SouthAfrica paired with Egypt,Angola,Zimbabwe

Africa Cup of Nations
Teams get tough opponents in AFCON 2025 Draws

Africa Cup of Nations
Tanzania,Uganda in tricky group with Nigeria and Tunisia

Africa Cup of Nations
Tough Afcon Group B as SouthAfrica paired with Egypt,Angola,Zimbabwe
Must See
-
AFRICA
/ 4 years agoSierra Leone FA President Isha Johansen endorses Patrice Motsepe for CAF President
Sierra Leone FA President who also doubles up as CAF Executive Council member Madam...
-
Football
/ 4 years agoIT JUST CAN NOT BE – AN AFRICA FULL OF MORONS?
By John De Mathews, There is an eerie silence around Africa, and it is...