-
-
by
Victor Abuso

Mabingwa watetezi wa taji la Shirikisho barani Afrika, Raja Casablanca ya Morocco, imemteua Mfaransa Patrice Carteron kuwa kocha wake mpya.
Carteron mwenye umri wa miaka 48, anachukua nafasi ya Mhispania Juan Carols Garrido ambaye mkataba wake ulimalizika siku ya Jumatatu wiki hii.
Kocha huyo ametia saini kuifunza klabu hiyo hadi mwisho wa msimu huu, huku akiwa na uhuru wa kuendelea kuifunza klabu hiyo.
Kabla ya kupewa kazi katika klabu hiyo, kocha huyo amewahi kuifunza klabu ya TP Mazembe ya DRC, Al Ahly ya Misri na timu ya taifa ya Mali.
Kazi kubwa iliyo mbele ya kocha huyu mpya, ni kuisaidia Raja Casablanca kutetea taji lake na imepangwa katika kundi la A na Hassania Agadir na RS Berkane zote kutoka Morocco na AS Otono ya Congo Brazaville.



Africa Cup of Nations
Teams get tough opponents in AFCON 2025 Draws

Africa Cup of Nations
Tanzania,Uganda in tricky group with Nigeria and Tunisia

Africa Cup of Nations
Tough Afcon Group B as SouthAfrica paired with Egypt,Angola,Zimbabwe

Africa Cup of Nations
Teams get tough opponents in AFCON 2025 Draws

Africa Cup of Nations
Tanzania,Uganda in tricky group with Nigeria and Tunisia

Africa Cup of Nations
Tough Afcon Group B as SouthAfrica paired with Egypt,Angola,Zimbabwe
Must See
-
AFRICA
/ 4 years agoSierra Leone FA President Isha Johansen endorses Patrice Motsepe for CAF President
Sierra Leone FA President who also doubles up as CAF Executive Council member Madam...
-
Football
/ 4 years agoIT JUST CAN NOT BE – AN AFRICA FULL OF MORONS?
By John De Mathews, There is an eerie silence around Africa, and it is...