Connect with us

 

Timu ya taifa ya soka ya Tanzania ya wachezaji wasiozidi miaka 17 Serengeti Boys, wanapiga kambi jijini Kigali nchini Rwanda kujiandaa kwa mchuano wake wa marudiano dhidi ya Congo Brazaville tarehe mbili mwezi ujao kufuzu kwa fainali ya bara Afrika itakayofanyika mwaka ujoa nchini Madagascar.

Mchuano wa kwanza uliochezwa mwishoni mwa wiki iliyopita, Tanzania wakiwa nyumbani, waliIfunga Congo mabao 3-2 jijini Dar es salaam.

Kikosi cha Tanzania kiliwasili jijini Kigali siku ya Alhamisi, na litajiandaa kwa muda wa wiki moja.

Tanzania, Congo na mataifa mengine ya Afrika yanatafuta nafasi ya kucheza katika fainali hiyo.

More in