-
by
Victor Abuso
Timu ya taifa ya soka ya Tanzania yenye umri wa miaka 17 maarufu kama Serengeti Boys, kesho itachuana na India katika mashindano maalum ya Kimataifa yanayoendelea huko India.
Kocha Bakari Shime amesema hana wasiwasi kuwavaa India na ana imani kuwa watapata ushidni.
Mwishoni mwa Juma, vijana wa Serengeti Boys walitoka sare ya bao 1 kwa 1 na Marekani.
Iatcheza pia na Korea Kusini tarehe 19, na baadaye Malaysia tarehe 21.
Tanzania pia inatumia mashindano haya kama maandalizi ya kikosi chao kwa ajili ya Fainali za Kombe la Dunia kwa Vijana zitakazofanyika 2017.
Kikosi cha Serengeti: Ramadhan Kabwili, Kelvin Kayego, Samwel Brazio, Kibwana Shomari, Nicson Kibabage, Israel Mwenda, Ally Msengi.
Issa Makamba, Nickson Job, Ally Ng’anzi, Maulid Lembe, Asad Juma, Kelvin Naftari, Yasin Mohamed na Syprian Mwetesigwa Aman Maziku, Rashid Chambo, Enrick Nkosi, Yohana Mkomola, Mohamed Abdallah, Shaban Ada na Muhsin Mkame.
CAF Confederation Cup
Simba snatch late winner against CS Sfaxien as Enyimba beaten
CAF Champions League
Sundown CL campaign has a pulse after beating Raja
CAF Champions League
TP Mazembe win CAF Women’s Champions league trophy
CAF Champions League
Mamelodi Sundowns Off to a Lukewarm Start in 2024/25 CAF Champions League
CAF Champions League
AL Ahly start CAF CL campaign with win over Stade d’Abidjan
CAF Confederation Cup
Simba make good start beating Bravos do Maquis
CAF Confederation Cup
Enyimba fall to Al Masry in Alexandria
CAF Confederation Cup
Zamalek got their Group D campaign off to a comfortable star
Must See
-
AFRICA
/ 4 years agoSierra Leone FA President Isha Johansen endorses Patrice Motsepe for CAF President
Sierra Leone FA President who also doubles up as CAF Executive Council member Madam...
-
Football
/ 4 years agoIT JUST CAN NOT BE – AN AFRICA FULL OF MORONS?
By John De Mathews, There is an eerie silence around Africa, and it is...