Na:Victor Abuso
Klabu ya Simba nchini Tanzania maarufu kwa jina la Wekundu wa Msimbazi , wametangaza kuagana rasmi na kipa wao wa siku nyingi Ivo Philip Mapunda.
Uongozi wa Simba unasema Mapunda ambaye zamani alikuwa anaichezea Gor Mahia ya Kenya ameondoka Msimbazi baada ya kushindwa kutoka ushirikiano wakati alipopatiwa mkataba mwingine kusaini.
Ripoti zinasema kuwa Mapunda tayari alikuwa amekabidhiwa Shilingi Milioni 10 za Tanzania kabla ya mkataba huo lakini hakujitokeza kufanya hivyo.
Msemaji wa Simba Haji Manara amesema, “Tumekuwa na kikao na Ivo, baada ya kushauriana na kocha wa magolikipa,”.
Manara ameongeza kuwa kocha ameridhika na uwezo wa magolikipa waliopo kwa maana ya Vincent Angban kutoka Ivory Coast, Peter Manyika na Dennis Richard.
Kipa huyo amethibitisha kuondoka Simba na kuwashukuru mashabiki wa klabu hiyo anayosema ameondoka kwa amani.
Mapunda anakumbukwa sana na mashabiki wa soka nchini Tanzania na Kenya kwa mbwembwe zake na kutumia taulo lake jeupe akiwa langoni.
African Football Writer contributing @Soka25east | Commentator; appeared on @MySoccerAfrica, @KweseSports, @ntvkenya, others | Keen follower of African Football. E-mail: bonfaceosano@gmail.com
CAF Champions League
Mamelodi Sundowns and Asfar advance to Quarter-finals
CAF Champions League
TP Mazembe bow out with big win over leaders Al Hilal
CAF Champions League
MC Alger book Quarter-finals spot after draw with Yanga
CAF Champions League
Orlando Pirates capped their incredible with Al Ahly win
Women's Football
FAZ appoints Hauptle as new Copper Queens Coach
Africa Cup of Nations
CAF Slaps Libya with $50,000 fine, Benin also sanctioned
CAF Champions League
Raja Casablanca upset Mamelodi Sundowns
CAF Champions League
Mouth Watering CAF Champions League matches lined up
CAF Champions League
Al Ahly, Al Hilal Omdurman and Esperance looking to book Quarter-finals slot
Must See
-
AFRICA
/ 4 years agoSierra Leone FA President Isha Johansen endorses Patrice Motsepe for CAF President
Sierra Leone FA President who also doubles up as CAF Executive Council member Madam...
-
Football
/ 4 years agoIT JUST CAN NOT BE – AN AFRICA FULL OF MORONS?
By John De Mathews, There is an eerie silence around Africa, and it is...