All posts tagged "Competition"
-
East Africa
/ 7 years agoKiungo wa Tanzania ajiunga na Petrojet FC ya Misri
Kiungo wa kimataifa wa Tanzania, Himid Mao amekamilisha uhamisho wa kujiunga na klabu ya Petrojet inayoshiriki Ligi Kuu ya Misri. Ripoti...
-
East Africa
/ 7 years agoTuzo za Ligi Kuu Tanzania Bara kutolewa Juni 23
Wachezaji 30 kuwania tuzo ya mchezaji bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara itakayotolewa Juni 23 katika Ukumbi wa Mlimani City uliopo...
-
Donald Ngoma atimkia Azam FC
Klabu ya Azam FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania Bara imethibitisha kuingia makubaliano ya kumsajili mshambuliaji wa zamani wa Platnum FC...
-
East Africa
/ 7 years agoRais Magufuli kuikabidhi Simba ubingwa wa Ligi Kuu, kesho
Mabingwa wapya wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC kesho wanatarajiwa kukabidhiwa ubingwa wao katika hafla itakayofanyika Uwanja wa Taifa Jijini...
-
Simba yasherekea ‘ubingwa’ kwa kuifunga Singida United
Simba imeendeleza mwendo wake mzuri wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Singida United....
-
Singida United yaikaribisha Simba Ligi Kuu Tanzania Bara
Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea tena hii leo kwa mchezo mmoja ambapo Singida United inachuana na Simba. Mchezo huo muhimu kwa...
-
Kamati ya nidhamu TFF, yatoa adhabu kwa mashauri mbalimbali
Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) iliyokutana Mei 9,2018 Kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya...
-
Timu ya Simba ya Tanzania imeshinda rasmi taji la Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu wa 2017/2018, licha ya kutoshuka uwanjani hivi leo.
Timu ya Simba SC imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara licha ya kutoshuka Uwanjani leo baada ya wapinzani wa Yanga...
-
Mwadin ashinda tuzo ya mchezaji bora Azam
Kipa mkongwe wa Azam ,Mwadin Ally Mwadin ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi wa Azam FC wa mwezi Machi. Kipa...
-
Simba kutangazwa ubingwa Jumamosi?
Vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba SC huenda wakatangaza ubingwa wa Ligi Kuu ikiwa wataishinda Singioda United Jumamosi.Simba inahitaji alama...