Na Mwandishi wetu akiwa Dar Es Salaam,
Mabingwa wa Ligi Kuu soka Tanzania bara Simba SC baada ya kucheza mechi 8, wakifungwa mechi 1 na ushindi mechi 7, ndio walikuwa wanaaminika kuwa katika mchezo wake wa tisa dhidi ya Tanzania Prisons ndio watavunja rekodi ya Prisons ya kutofungwa lakini mambo yamekuwa tofauti.
Simba SC kwenye uwanja wake wa Uhuru ambao wanatumia kama uwanja wao wa nyumba, wamelazimishwa sare 0-0 na kugawana point moja moja..
Kwa sasa Tanzania Prisons inabakia kuwa timu pekee Ligi ya Tanzania bara ambao hawajawahi kupoteza mchezo hadi sasa wakiwa wamecheza mechi 10.
Simba anaongoza Ligi kwa sasa kwa kuwa na point 22, walizopata katika michezo 9 waliocheza, akipoteza mchezo mmoja na sare 1, huku Prisons wakishika nafasi ya nne kwa kuwa na point 16, wakicheza michezo 10, sare 7 na ushindi mechi 3.



Africa Cup of Nations
Teams get tough opponents in AFCON 2025 Draws

Africa Cup of Nations
Tanzania,Uganda in tricky group with Nigeria and Tunisia

Africa Cup of Nations
Tough Afcon Group B as SouthAfrica paired with Egypt,Angola,Zimbabwe

Africa Cup of Nations
Teams get tough opponents in AFCON 2025 Draws

Africa Cup of Nations
Tanzania,Uganda in tricky group with Nigeria and Tunisia

Africa Cup of Nations
Tough Afcon Group B as SouthAfrica paired with Egypt,Angola,Zimbabwe
Must See
-
AFRICA
/ 4 years agoSierra Leone FA President Isha Johansen endorses Patrice Motsepe for CAF President
Sierra Leone FA President who also doubles up as CAF Executive Council member Madam...
-
Football
/ 4 years agoIT JUST CAN NOT BE – AN AFRICA FULL OF MORONS?
By John De Mathews, There is an eerie silence around Africa, and it is...