-
-
by
Victor Abuso
Klabu ya Yanga FC mwishoni mwa juma lililopita, walitawazwa mabingwa wa soka Tanzania bara.
Hili ni taji lake la 26 katika historia ya klabu hiyo yenye makao yake jijini Dar es salaam nchini Tanzania.
Wanajangwani wametawazwa mabingwa kwa alama 72 wakifuatwa na Azam FC ambayo ni ya pili kwa alama 63.
Simba SC inamaliza ya tatu katika msimu mwingine kwa alama 62.
Matokeo ya mwishoni mwa juma:-
- Mtibwa Sugar 0 Simba SC 1
- Ndanda FC 2 Yanga Africans 2
- Kagera 2 Stand United 1
- Mwadui FC 1 Mbeya City 1
- African Sports 1 Azam FC 2
- Tanzania Prisons 1 Toto Africans 0
Yanga imeshinda ligi kuelekea kumalizika kwa ligi mwishoni mwa juma lijalo, huku mechi ya mwisho ikiwa dhidi ya Maji-Maji mjini Songea.
Ratiba ya mwisho Mei 21 2016
- Mbeya City vs Ndanda FC
- Coastal Union vs Tanzania Prisons
- Simba SC vs JKT Ruvu
- Toto Africans vs Stand United
- Azam FC vs Mgambo JKT
- Kagera Sugar vs Mwadui FC
- Mtibwa Sugar vs African Sports.
Coastal Union tayari imeshushwa daraja lakini hatima ya Mgambo JKT na African Sports inategemea michuano yao ya mwisho.



Africa Cup of Nations
Teams get tough opponents in AFCON 2025 Draws

Africa Cup of Nations
Tanzania,Uganda in tricky group with Nigeria and Tunisia

Africa Cup of Nations
Tough Afcon Group B as SouthAfrica paired with Egypt,Angola,Zimbabwe

Africa Cup of Nations
Teams get tough opponents in AFCON 2025 Draws

Africa Cup of Nations
Tanzania,Uganda in tricky group with Nigeria and Tunisia

Africa Cup of Nations
Tough Afcon Group B as SouthAfrica paired with Egypt,Angola,Zimbabwe
Must See
-
AFRICA
/ 4 years agoSierra Leone FA President Isha Johansen endorses Patrice Motsepe for CAF President
Sierra Leone FA President who also doubles up as CAF Executive Council member Madam...
-
Football
/ 4 years agoIT JUST CAN NOT BE – AN AFRICA FULL OF MORONS?
By John De Mathews, There is an eerie silence around Africa, and it is...